JINSI YA KUJISAJILI TIGO ZANTEL ZANZIBAR INTERNATIONAL MARATHON

Ni wiki kadhaa sasa tangu Tigo Zantel itangaze rasmi kuwa mdhamini mkuu wa mashindano ya mbio maarufu za Zanzibar International Marathon zinazotarajiwa kufanyika Tarehe 7  Agost 2022 visiwani Zanzibar huku zikiwa na lengo la kutangaza utalii nchini. Akizungumza Leo Agosti 5, zikiwa zimebakia siku mbili kuelekea mbio hizo Mkurugenzi wa Tigo Zantel Kanda ya Zanzibar